Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!

Hata sabaya ameachiwa kwa makosa ya kiufundi.
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Lumumba hhakuna mwenye akili! Kisichoeleweka Nini hapo? Walipinga Nini? Nini kiliwapeleka Mahakamani? Mpàka Sasa hakuna kesi mahakamani hivyo wameridhia kufukuzwa, wanaridhika na hukumu ya Chadema, mpàka hapo watakapo kata rufani ndiyo mtu unaweza kusema wanakusudio la kupinga maamuzi ya Baraza Kuu. Ukisha strike out Ni kwamba hapajawahi kuwa na kesi mahakamani, there is an empty plate on the table of the court!, simple as that!
 
Mama anataka HAKI itamalaki, JIWE alimtumia Ndugai kuharibu mambo kwa ubabe ubabe. Ikiwa CCM wamekubali mchakato wa Katiba, hili la akina Mdee wanaenda kumwagwa.

Mungu katuamulia ugomvi.
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Kama kusoma hujui hata picha huoni?
 
Sio wanachama CCM mje mchukue mamluki wenu wabunge wa dikteta uchwara.
 
Kuna wanawake CHADEMA kwa kweli wamepambana sn yule CPA Ruge, Hilda Newtown, Devotha Minja n.k wapelekwe haraka sn
Mimi namkumbuka yule dada/mama wa TEMEKE aitwaye Neema Mwakipesile aisee iwapo CHADEMA watatakiwa wapeleke wabunge wapya huyo dada/mama anstahili kuwa namba moja. Alipitia wakati mgumu sana lakini alibaki na msimamo wake.
 
mmm kama unamaendeleo ya maisha basi ni muujiza.uwezo wako ni mdogo sana wewe mtoa mada
 
Back
Top Bottom