Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Subiri KIMPUMU iishe ndo ufunguwe uzi...
 
IMG-20220623-WA0121.jpg
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Rufaa ikishindwa kwa sababu yoyote ile, kinachofuata ni kile kilichokatiwa rufaa kutamalaki
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Jo wewe ndio like kundi la P eehh
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Katibu Mhutasi huwezi kuelewa mambo magumu kama haya
 
Sijaona pahala Jaji wa Mahakama kuu alipobariki maamuzi ya Baraza kuu la Chadema ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake

Nilichokiona ni makosa ya kiufundi tu wakati wa kufungua Kesi yaliyofanywa na wafungua shauri

Ufafanuzi tafadhali

Mungu ni mwema wakati wote!
Sio LAZIMA uanzishe uzi
 
Attachments

  • 20220623_070853.jpg
    20220623_070853.jpg
    84.1 KB · Views: 13
Katika watu ambao CCM imefuga pamoja na yule PASCALI huyu John Mbatizaji naye ni the deplorable asshole. Sijui sheria gani wanajua. Halafu wamesomea sheria ati UD. COVID-19 kimsingi hawana merit yakuwa jengoni kwa sababu hata katiba hairuhusu. Judges wameangalia wakaona kesi hiyo ni kupoteza muda. Hawa vi-mioyo vinawauma!!
 
Back
Top Bottom