Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mdee ametuangusha sana sisi wapare. Sisi. Sio watu wa kungangania vitu kwa sababu ya pesa . Angeweza kufungua law firm yake, consulting company yake au kufanya kwenye kampuni nyingine za kimataifa badala ya kutegemea posho ndogo za wabunge na kugushi vitu! Aibu sana. Mbowe alimwambia haya. Sasa wakati mwingine hawa watoto wa walimu wanakuwa nao slow sana🤔
Hajawahi kupractice hayo mambo ya law. Alimaliza chuo na kurukia siasa. Hayo mambo ya sheria alishasahau maana ni zaidi ya miaka 15 iliyopita. Akiingia kwenye sheria atakuwa incompetent.