Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Mdee ametuangusha sana sisi wapare. Sisi. Sio watu wa kungangania vitu kwa sababu ya pesa . Angeweza kufungua law firm yake, consulting company yake au kufanya kwenye kampuni nyingine za kimataifa badala ya kutegemea posho ndogo za wabunge na kugushi vitu! Aibu sana. Mbowe alimwambia haya. Sasa wakati mwingine hawa watoto wa walimu wanakuwa nao slow sana🤔

Ana B 10 alizopewa na marehemu ili kuisaliti Chadema
 
Naamini ile mikutano ya Rais Samia na Mwenyekiti Mbowe, na baadae CCM na Chadema ndio imepelekea kufikia kutupiliwa mbali kwa kesi ya kina Mdee.
Naamini kabisa kuna majina mengine tayari serekali inayo toka kwa viongozi wa Chadema. Shaka yangu kwa mujibu wa taratibu kuna chombo ndani ya xhama ambaxho kinapitiaha haya majina. Kama sio kamati kuu, basi ni baraza kuu. Ila hatujasikia wamekaa na wamekutana.
Nasubiria upande wa pili. Bunge, najua walishapewa barua toka chadema za kuwafukuza kina mdee.
Unaandika hisia zako halafu unalaumu organs za chama, taabu kwelikweli.
 
Nategemea mapema kesho asubuhi saa tatu na dakika zake Spika Tulia atawaondoa hao wanawake bungeni, nahisi wengine hawatakwenda kesho bungeni.
 
Jambo la msingi ni kwamba wanayo nafasi ya kupeleka tena maombi yao upya.
Angalia bunge kesho, hawa malaya wa Ndugai wakiendelea kuwa wabunge najitowa JF.

Wengi hamjui vision ya Mama Samia na kwa nini amekutana na Chadema Ikulu, ukilijuwa hili hupati tabu kujuwa covid 19 shughuri yao imekwisha.
 
Kwaiyo ni kusema Halima mdee watasimamishwa ubunge? Au bado ni danadana kurefusha muda? Ajuae..
 
uhuni vipi tena, wakati Mwenyekiti alimtafutia kazi HALIMA yenye mshahara mnono akimbembeleza aachane na Ubunge..

Halmashauri kuu ilikaa soon baada ya Mwenyekiti kutoka jela.....hivi CDM mlikuwa hamna uwezo wa kusikiliza hiyo issue mpaka mwenyekiti awepo?

Mwenyekiti wa CCM leo hii akipelekwa jela mtakaa kufanya maamuzi?
 
Covid 19 imeisha
No more barakoa
IMG-20220622-WA0492.jpg
 
mhuni anatafutiwa kazi na Mwenyekiti akibembelezwa aachane na uhuni....

Cdm safi sana, kumbe unaweza kuwa mhuni na Mwenyekiti akakubembeleza...

Hiyo ya kutafutiana wanajuana mwenyekiti na Mdee, haikuwa maagizo ya chama. Yeye Mbowe alifanya ili kumsaidia mwanachama wake wa muda mrefu. Sasa mambo binafsi sijui unayahusishaje na chama. Au umeishiwa na hoja nini?
 
Back
Top Bottom