Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Hahahaaa.... Mwanasheria wa mchongo kapigwa katafunua na vioja vyake cya kimchongo. Kuna Mayalla mwanasheria wa mtandaoni HALAFU Kuna mawakili wasomi mahakamani akina Kibatala, Mtobesya Malya no

Alijitutumua kweli buku , akajitoa fahamu leo kaishia ku-like tu.

Atashauri Nini? Kwani yeye anashauriwa na Nani?

Anyways tumsikilize Mayala Labda atapindua hukumu.
Hajawahi ku practise sheria.
Nadhani alifeli chuo.
Mwanasheria gani punguani na CHAWA
 
Habari njema sana hii.

Kinachofata wafunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi, waturudishie pesa zetu walipakodi wa nchi hii walizokula.
 
Back
Top Bottom