Àfe tena huko motoniKwa ushenzi ule wa JPM, walikuwa sahihi sana kumtukana, na naomba aendelee kuunguzwa siku ya leo sehemu ya makalio na kadudu kae huko motoni
Àfe tena huko motoniKwa ushenzi ule wa JPM, walikuwa sahihi sana kumtukana, na naomba aendelee kuunguzwa siku ya leo sehemu ya makalio na kadudu kae huko motoni
Tumsubirie sasa Tulia atulie na kutuliza kitulizo chakeMahakama Kuu jijini Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya msingi iliyokuwa imefunguliwa na wabunge 19 wa CHADEMA waliovuliwa uanachama na chama hicho, hivyo kuruhusu taratibu zingine kuendelea.
Bado mapema sana kulisemea, muda utasema 😁 😁Ingekuwa vinginevyo ungesema hivi hivi
Paskali Malaya uko wapi.Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
=====
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wenzake 18 kupinga kuvuliwa uanachama na CHADEMA, ikikubaliana na pingamizi la CHADEMA lililopinga kufunguliwa kwa shauri hilo kinyume cha sheria.
Ni Kesi ya Madai namna 13 ya Mwaka 2022 iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga CHADEMA kuwavua uanachama kitu kinachopelekea kupoteza Ubunge wao
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
Mahakama ime struck out! Means kesho tuu watafaili upya kwakua the matter was not finaly determined rather iliondolewa for being defective.Tupe Basi kilichojiri au ulijifurahisha kuweka pambio
Tulia anaweza kutulia kimya mpaka 2024 akisema hajaipokea hukumu.Mpira umerudi Dodoma, ngoja tuone sasa
Una maana gani mkuu?Spin Doctors. Hakuna kitu rahisi kama kutawala watanzania
So what next
Wana nafasi ya kukata rufaa mahakama ya rufaniSo what next
Wanaruhusiwa kukata rufaa tena?
Yes mahakama ya rufaaWanaruhusiwa kukata rufaa tena?
Anajipa moyo sawa tu na yule mwandishi nguli, bingwa wa sheria za kishabiki.Una maana gani mkuu?
Kwamba ishu gani inafichwa hapo?
Hayo ni miongoni mwa makubaliano na Mbowe katika mkutano wa Ikulu kwamba hao wabunge waondolewe.Kwa hiyo tayari hao majaji wamekwisha elekezwa.Jaribu kufikiria tu,kwamba kwani wakina Halima ndio wa kwanza kufukuzwa kwenye chama na kwenda mahakamani?Watu wengi tu hawajawahi kushindwa hizo kesi.Zitto ,wabunge wa CUF wote waliishi na hizo kesi.Hayo ni miongoni mwa makubaliano ya Hangaya na Mbowe.Tutaona makubaliano mengi yanakujaHukumu tayari kwani serikali haiwezi kukubali kuwapoteza wabunge hao kutokana na hitaji la kikatiba la Kamati za Bunge.
Kibibi wa Chadema unakenua meno tu.Leo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
=====
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wenzake 18 kupinga kuvuliwa uanachama na CHADEMA, ikikubaliana na pingamizi la CHADEMA lililopinga kufunguliwa kwa shauri hilo kinyume cha sheria.
Ni Kesi ya Madai namna 13 ya Mwaka 2022 iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga CHADEMA kuwavua uanachama kitu kinachopelekea kupoteza Ubunge wao
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
CHADEMA yaweka Mapingamizi 6 Kesi ya Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. Mahakama Kuu kuamua 22/06/2022
Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu
Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
Paskali nadhani amezeeka vibaya.Pascal Mayalla naomba uje utoe neno ama uandike uzi hapa. Utuambie sisi mbumbu wa sheria na upeo mdogo wa uchambuzi kwamba ;- maamuzi haya ya mahakama yana hatma gani kwa akina Halima Mdee na Chadema?