ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Mtu wenu huyo..Chadema baada ya kumaliza kumtukana Magufuli wamegeukana wao kwa wao, laana inawatafuna
Mtu wenu huyo..Chadema baada ya kumaliza kumtukana Magufuli wamegeukana wao kwa wao, laana inawatafuna
Kwani katiba hio ilishawahi kuheshimiwa na Serikali? Kama bunge lina 100% ya wabunge wa CCM sasa hapo kuna vyama vingi?Hukumu tayari kwani serikali haiwezi kukubali kuwapoteza wabunge hao kutokana na hitaji la kikatiba la Kamati za Bunge.
Duuh Msala mkubwa, ndio maana katika firms kuna watu special wa kuandaa documents za kwenda kule pamoja Mahakama ya rufaa pia.Kuna wakili junior , amepata mteja mzuri tu, wamefile kesi commercial court.
.
Filing fee ya ile kesi ilikua 6.5 milion , na kesi imekua struck out kwakua kushindwa kufata font inayoelekezwa na commercial rules katika uandaaji wa document.
.
Kimsingi namhurumia Huyo Wakili ataenda ongea nini kwa mteja wake apate pesa ya kufile upya. [emoji19][emoji19][emoji19]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Atadai hiyo ni kangaroo courtPaskali Malaya uko wapi.
Ukuje huku ujue nchi inatawaliwa kwa misingi ya sheria na syo udikteta kama ilivyokua mjombako marehemu na ndugai
wanatakiwa kuondolewa ubunge mpaka majibu ya rufaa? au vinginevyo?Wana nafasi ya kukata rufaa mahakama ya rufani
paskali alilambishwaaaaPascal Mayala akijitokeza humu kucomment mniite mbwa- nimekaa pale!
Nini hatma yao sasa baada ya haya maamuzi, manguli wa sheria mtusaidie cc Mayala et alLeo hii saa 8 Mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itatolea uamuzi Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Chadema dhidi ya waliotimuliwa kwenye chama hicho wanaoongozwa na Halima Mdee , ikiwa kama walistahili kufungua kesi hiyo au la.
Halima Mdee na kikundi chake wamefungua kesi kwenye Mahakama hiyo wakipinga kufutwa uanachama .
=====
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeitupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wenzake 18 kupinga kuvuliwa uanachama na CHADEMA, ikikubaliana na pingamizi la CHADEMA lililopinga kufunguliwa kwa shauri hilo kinyume cha sheria.
Ni Kesi ya Madai namna 13 ya Mwaka 2022 iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga CHADEMA kuwavua uanachama kitu kinachopelekea kupoteza Ubunge wao
Pia, soma;
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
CHADEMA yaweka Mapingamizi 6 Kesi ya Ubunge wa Halima Mdee na wenzake. Mahakama Kuu kuamua 22/06/2022
Wabunge 19 kufungua kesi, vigogo CCM na ofisi ya Spika wahusishwa katika uratibu
Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea
kuna wanguli wengi credible humu, sio huyu Pasco chawaPascal Mayalla naomba uje utoe neno ama uandike uzi hapa. Utuambie sisi mbumbumbu wa sheria na upeo mdogo wa uchambuzi kwamba ;- maamuzi haya ya mahakama yana hatma gani kwa akina Halima Mdee na Chadema?
kwanza wali foji documents, na wamelipwa kisivyo halali.Na isiishie hapo tu. Jinai iliyowaingiza bungeni kimagumashi lazima ifanyiwe kazi pia ili wale wote waliohusika wajibu tuhuma na kuwajibishwa.
Kama MKWERE aliweza, MZENJI, (ingawa) MWANAMKE atashindwaje? (Makamba- Mkutano mkuu CCM, kumchagua M/MKiti KINANA)Spin Doctors. Hakuna kitu rahisi kama kutawala watanzania
Sasa iyo CCM si ingekubali pingamizi la kina mdee ili iendelee kuwakumbatia?Kwa mahakama ya Tanzania, tusitegemee miujiza... Majaji wote ni Ccm.
Kama ambavyo chadema inaitesa ccm kwa katiba mpyaHalima Mdee anaitesa sana Chadema
Possible answers- KARMA and VOICES FROM WITHIN. 😁 😁Pascal Mayalla naomba uje utoe neno ama uandike uzi hapa. Utuambie sisi mbumbumbu wa sheria na upeo mdogo wa uchambuzi kwamba ;- maamuzi haya ya mahakama yana hatma gani kwa akina Halima Mdee na Chadema?
Wanataka wanyanganye ugali wao