Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Dar: Mahakama kuu yatupilia mbali kesi ya Halima Mdee na Wabunge wenzake 18. Sasa kupoteza Ubunge

Nibe Nibe Nibe ​

Mikononi Mwako Niwe Salama ​

Ccm Iwabebe Tu
Wapi Job, Msajiri Wa Vyama, Viongozi Wa Ccm
Tonge Nyama Tonge Nyama
 
Mwenyekiti alimtafutia mpaka kazi Halima eti aachane na ubunge....Mwenyekiti yuko vizuri kwenye mambo haya.
 
Leo tunafurahi mahakama imetenda haki...kesho tutasema mahakama ni mali ya CCM...
 
Pascal Mayalla naomba uje utoe neno ama uandike uzi hapa. Utuambie sisi mbumbumbu wa sheria na upeo mdogo wa uchambuzi kwamba ;- maamuzi haya ya mahakama yana hatma gani kwa akina Halima Mdee na Chadema?
Pascal Mayalla usiishie tu "kulike". Nakuona una "like" kila comment ya uzi huu, huna uchoyo kabisa. Lakini tunaomba toa neno tafadhali mtaalamu wa sheria ili nasi tujifunze.
 
Leo tunafurahi mahakama imetenda haki...kesho tutasema mahakama ni mali ya CCM...

Nani anafurahi? Huwa mnasema hivyo na kuamini msemacho wenyewe. Hizo mahakama zimeshapoteza credibility yake. Wetu wanajua hao wasaliti wamepoteza mlo na hakuna anayejua lolote kuhusu mahakama. Kama ulitarajia mahakama itaonekana huru kwa huu uhuni wa kina Mdee basi umechemsha.
 
Naamini ile mikutano ya Rais Samia na Mwenyekiti Mbowe, na baadae CCM na Chadema ndio imepelekea kufikia kutupiliwa mbali kwa kesi ya kina Mdee.
Naamini kabisa kuna majina mengine tayari serekali inayo toka kwa viongozi wa Chadema. Shaka yangu kwa mujibu wa taratibu kuna chombo ndani ya xhama ambaxho kinapitiaha haya majina. Kama sio kamati kuu, basi ni baraza kuu. Ila hatujasikia wamekaa na wamekutana.
Nasubiria upande wa pili. Bunge, najua walishapewa barua toka chadema za kuwafukuza kina mdee.
 
Nani anafurahi? Huwa mnasema hivyo na kuamini msemacho wenyewe. Hizo mahakama zimeshapoteza credibility yake. Wetu wanajua hao wasaliti wamepoteza mlo na hakuna anayejua lolote kuhusu mahakama. Kama ulitarajia mahakama itaonekana huru kwa huu uhuni wa kina Mdee basi umechemsha.

uhuni vipi tena, wakati Mwenyekiti alimtafutia kazi HALIMA yenye mshahara mnono akimbembeleza aachane na Ubunge..

Halmashauri kuu ilikaa soon baada ya Mwenyekiti kutoka jela.....hivi CDM mlikuwa hamna uwezo wa kusikiliza hiyo issue mpaka mwenyekiti awepo?
 
Leo tunafurahi mahakama imetenda haki...kesho tutasema mahakama ni mali ya CCM...
Kuna vitu vya wazi ambavyo mahakama ukienda kinyume lazima tuseme. Hili lilikuwa wazi Sana, walikosea mambo mengi ya kisheria katika kufungua kesi Yao. Hapa haki imetendeka.

Kuna.kesi mahakama unasema 1+1=3 katika natural maths, kweli tusiseme?
 
Nani anafurahi? Huwa mnasema hivyo na kuamini msemacho wenyewe. Hizo mahakama zimeshapoteza credibility yake. Wetu wanajua hao wasaliti wamepoteza mlo na hakuna anayejua lolote kuhusu mahakama. Kama ulitarajia mahakama itaonekana huru kwa huu uhuni wa kina Mdee basi umechemsha.

mhuni anatafutiwa kazi na Mwenyekiti akibembelezwa aachane na uhuni....

Cdm safi sana, kumbe unaweza kuwa mhuni na Mwenyekiti akakubembeleza...
 
Back
Top Bottom