Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

Jaji Tz

Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
33
Reaction score
19
Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee...
IMG-20220409-WA0079.jpg


Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake,

Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa la Sahara na aliyedumu kwa muda mrefu zaidi hapa Tanzania sasa kupokelewa na kutambulishwa kwa Viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kesho katika Ukumbi wa Mikutano wa Diamond Jubilee, kuanzia saa 2:00 Asubuhi,
 
Sherehe January ~December
Ccm Punguzeni Nongwa Tunashindwa Kupumua
 
Mida ya ibada za Jumapili kwa Wakristu angemuuliza rafiki yake Mzee Makamba amshauri siku na muda muafaka maana kasomea kwa Walutheri.
 
IMG-20220409-WA0046.jpg


===
Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana -CCM na Watanzania kwa ujumla wake,

Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa la Sahara na aliyedumu kwa muda mrefu zaidi hapa Tanzania sasa kupokelewa na kutambulishwa kwa Viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi kesho katika Ukumbi wa Mikutano wa Diamond Jubilee, kuanzia saa 2:00 Asubuhi,
 
Makamba alimwaga Michele hadharani kuwa ni Kikwete ndiyo aliomba kuwa KINANA arudishwe kama makamu Mwenyekiti baada ya Mangulla kustaafu!!! Kuna mtu ndani ya ccm ambaye anaweza kuelezea kitu kilichomsukuma Kikwete kutaka Kinana arudishwe kwenye uongozi baada ya tuhuma nzito dhidi yake enzi ya Magufuli?
Kikwete mara zote alikuwa anazuiwa na Mangulla kufanya ufisadi wake na maadam sasa amepata nafasi ya kukihodhi chama baada ya kumtawaza Kinana; ameisha fanikiwa kumuingiza mwanae kuwa naibu waziri sasa with Kinana hapo alipo anatengeneza mtandao wake wa kuweza kumsimika Ridhwani kama Rais ajaye hata kama hana akili hata moja, kwani haoni sababu kwanini Mwinyi amerithiwa na mwanae na yeye asiweze kumsimika mwanae!!! CCM as currently constituted are being led by the nose by this dumb retiree!! Very unfortunate.
 
Wachovya asali na familia zetu tutakuwepo tena tutakuwa siti za mbele kabsa
 
Wachovya asali na familia zetu tutakuwepo tena tutakuwa siti za mbele kabsa

Zamani Watanzania walizoe Rais wa JMT akitoka Dodoma kwenye jambo muhimu lililojiri huko la kiserikali au kichama, ilikuwa ni kawaida kuja Dayamondi hall kuongea na Wazee wa DSM na kupitia hao Wanachi/Wanachama. Naona mambo yamebadilika Mwakamu Mkt ndio anapewa hiyo heshima. Mh Rais ambaye ndiye Mwkt Taifa CCN yuko akiangalia haya yakiendelea.
 
Dar es salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee...View attachment 2181975
Kwahiyo hapo Lumumba mmeona kukipokea hiko kibabu chenu ni habari muhimu kabisaa Karne hii ya 21. Yaani mnalipwa pesa buku7 kwa kutuma taarifa Kama hizi. Kibabu kilipaswa kuwa makumbusho ya tanu huko kisije kikaanguka jukwaani halafu mseme hatuku waambia.
 
MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA NDUGU ABDULRAHMAN OMAR KINANA.

LEO JUMAPILI APRIL 10, 2022.

UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE DAR ES SALAAM
KUANZIA SAA 3:ASUBUHI.

IMG-20220410-WA0001.jpg


IMG-20220409-WA0038.jpg


IMG-20220410-WA0001.jpg
 
MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA NDUGU ABDULRAHMAN OMAR KINANA.

LEO JUMAPILI APRIL 10, 2022.

UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE DAR ES SALAAM
KUANZIA SAA 3:ASUBUHI.

View attachment 2182149

View attachment 2182150

View attachment 2182151
Yani ninyi bila akina Kingai na Mahita hamuwezi chochote. Wenzenu CHADEMA wapo kidigital Join the chain ninyi mnahangaika kukipokea hiko kibabu. Kibabu hicho kilipaswa kuwa makumbusho ya tanu huko. Hicho kibabu kitaanguka jukwaani halafu mseme hatuku waambia.
 
Back
Top Bottom