Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini wana tabu sana! Wepesi wa kusahau!Wafanya kazi wa uhuru na Mzalendo muanze kutuliza maumivu kwani mishahara mtaisikia kwenye bomba tu baada ya JIWE kuwaokoa. Hawa si ndiyo waliouza mitambo ya kuchapishia magazeti yenu, sasa wamerudi na pengine Kimbisa nae atarudi kuwa mwenyekiti wenu!!!