Makamba alimwaga Michele hadharani kuwa ni Kikwete ndiyo aliomba kuwa KINANA arudishwe kama makamu Mwenyekiti baada ya Mangulla kustaafu!!! Kuna mtu ndani ya ccm ambaye anaweza kuelezea kitu kilichomsukuma Kikwete kutaka Kinana arudishwe kwenye uongozi baada ya tuhuma nzito dhidi yake enzi ya Magufuli?
Kikwete mara zote alikuwa anazuiwa na Mangulla kufanya ufisadi wake na maadam sasa amepata nafasi ya kukihodhi chama baada ya kumtawaza Kinana; ameisha fanikiwa kumuingiza mwanae kuwa naibu waziri sasa with Kinana hapo alipo anatengeneza mtandao wake wa kuweza kumsimika Ridhwani kama Rais ajaye hata kama hana akili hata moja, kwani haoni sababu kwanini Mwinyi amerithiwa na mwanae na yeye asiweze kumsimika mwanae!!! CCM as currently constituted are being led by the nose by this dumb retiree!! Very unfortunate.