Wafanya kazi wa uhuru na Mzalendo muanze kutuliza maumivu kwani mishahara mtaisikia kwenye bomba tu baada ya JIWE kuwaokoa. Hawa si ndiyo waliouza mitambo ya kuchapishia magazeti yenu, sasa wamerudi na pengine Kimbisa nae atarudi kuwa mwenyekiti wenu!!!