Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ndugu yako huyu huku anapewa kibano na Wahindi wewe unampigania Muhindi? Ni lazima utakuwa mgonjwa wa akili au labda umekulia uhindini umelelewa huko?



Hilo jambo walikusanyana wahindi wote wakashiriki kufanya hilo tukio? Jamii gani duniani watu wote wakawa wema?

Khaaa, yaani we unajustify binadamu kutekwa ?

Nina mashaka umetumwa
 
Ndio maana makei alipiga mkwara mzito kwa utoaji wa habari!
Makei atazikwa na lundo la watu sio kwa kumpenda bali watataka kumtupia udongo akiwa kaburini.
 
Kuonekana kwa MO kutategemeana na mambo mengi .

1.Ikiwa waliomkamata watamwambia masherti ambayo atakubali kuwatekelezea mfano kupewa kiasi fulani cha pesa.

2.ikiwa waliomkamata wataogopa hali iliyobadilika ya MO kuteka vyombo vyote vya dunia hivyo kila kona anazungumzwa.Hili laweza kuwafanya watekaji kumwachia huru.

3.Ikiwa MO atakataa kufuata masherti yao akiamini kuwa hata akitekeleza masharti yao bado watamuua basi wanaweza kumuua kweli kuogopa atawaumbua.

4.shinikizo la mabilionea wa dunia ambapo MO ni miongoni mwa mabilionea wa dunia hivyo kushindwa kuonekana kwake kwaweza kupelekea wawekezaji wageni kuondoka na hivyo nchi kuathirika kiuchumi. Hili laweza kusukuma serikali kumtafuta hadi kumuona.

Ni wazi MO ni moja kati ya wafanyabiashara waaminifu na waadilifu ktk nchi hii na kazi zake hazina uchafu wowote kila kodi analipa. Baadhi ya watu hupenda kuona mtu au watu wanateseka siyo kuishi kwa raha. Uaminifu wa MO ktk biashara zake unawakwaza baadhi ya watu wanaopenda kula pesa za wapenda njia mkato.

Hadi sasa naungana na wanasimba wengine wote ndugu na jamaa wa MO kumuombea muujiza wa MUNGU uonekane ili njia ipatikane pasipo na njia kama ilivyokuwa kwa waisrael wakitoka misri.
Tuendelee kuwaombea na wengine akina saa8 Azory nao neema ifunguke tuone hata mifupa yao ikiwa wameuawa.
 
Kama MO akipotea mazima basi huo ndio utakuwa mwisho wa wasiojulikana....Ndugu zake lazima wapige kisomo HEAVY ambacho kitawadondosha hao wazungu waliomteka MO.

Wazungu au wabongo waliovaa mask za kizungu? Mkuu usiamini kila unachoambiwa! Mwalimu wangu aliwahi kuniambia "kamwe usimuamini mtu muongo hata kama anachokuambia kina ukweli"
 
Mnafiki mkubwa we jamaa. Actually tunafahamu unaishi kwa njia hizo huko uliko. Umbwa kabisa.
 
Mnafiki mkubwa we jamaa. Actually tunafahamu unaishi kwa njia hizo huko uliko. Umbwa kabisa.
Hata wewe haya uloandika ni unafiki mtupu bali tumekuvumilia tu.Jitahidi kusikia yote hata kama huyapendi. Ukikosa uvumilivu wa kusikia mpaka mwisho ujue unaumwa umegomea kunywa dawa.
 
Mhh Mkuu bashite akitoka bwana mkubwa kwenye uongozi atapata tabu sana
 
Na sisi yanga tunamuombea pia....
 
Tumeishuhudia kamati ya amani mkoa wa Dsm iliyosheheni viongozi wa dini ikiwa mstari wa mbele katika kunena pindi yanapojitokeza matukio yanayotishia amani yetu. Tena huutumia mchezo wa mpira wa miguu kama kiashirio cha mshikamano miongoni mwetu. Leo mtu maarufu katika mkoa wetu wa Dsm ametekwa kamati iko kimya, WHY?!!!....Mwenyekiti wa kamati shehe wa mkoa wa Dsm walau sema neno moja la kuwstia moyo wanafamilia, wanamichezo na wananchi wote kwa ujumla. Naomba niishie hapo tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…