mohamed dewji

Mohamed Hamisi Missanga (born 15 March 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Singida South constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi zile Bilioni 20 za Mo Dewji ziliwekwa Treasury Bonds/Bills? Je, zimetengeneza faida kiasi gani kwa Simba?

    Uwekezaji wa Mohammed Dewji maarufu Mo Dewji ndani ya Klabu ya Simba ni moja ya hatua kubwa zilizobadili mwelekeo wa uendeshaji wa soka la Tanzania katika miaka ya hivi karibuni. Dhamira yake ya kuwekeza ndani ya klabu hiyo iliibuka rasmi Julai 29, 2016, alipoweka wazi nia ya kuinunua Simba kwa...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji ametajwa kuwa miongoni mwa watu matajiri Duniani, ana utajiri wa USD 2.2 Bilioni

    Jarida la Forbes Mwaka 2025 limemtaja Mtanzania Mohamed Gullam Dewji “MO Dewji” katika orodha ya mabilionea wa Afrika, listi mpya iliyotolewa na Forbes, Machi 29, 2025, imeonesha MO anashika nafasi ya 12, akiwa na utajiri wenye thamani halisi ya mali ya Dola za Marekani Bilioni 2.2 akipanda kwa...
  3. snipa

    JamiiForums Tanzania Account ya Mohamed Dewji haikuwa hacked "haikudukuliwa" ? ila kalipwa kuwadanganya na kuwaingiza mkenge watanzania, Crypto scam.

    Wadau Kwa wanaoona Kanye west ni chizi basi jifikirieni mara mbili, mana Kuna ukweli kwenye analolisema. Kanye west anadai scammers wa crypto walimfuata na kumwambia apost kwenye x crypto yao ajifanye yake na aiache post Kwa masaa 8 na baada ya muda huo kupita aje aseme account yake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Kuna hizi habari kwamba Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametekwa leo asubuhi maeneo ya Collosium Gym , Oysterbay alipokuwa ameenda kufanya mazoezi.. Mwenye habari kamili atujuze. ====== UPDATES: Mfanyabiashara maarufu nchini, ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji (Mo Dewji)...
Back
Top Bottom