Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hivi serikali ni nini? na viongozi walioko serikalini ni nini?
Ondoa utumbo wako hapa.
Huyu ndugu yetu inaelekea hajui tafsiri sahihi ya serikali...labda tumsaidie according to civics form two "government is the group of people with authority to run matters of the nation" sasa anatofautishaje watoa maamuzi wachache ambao kwa mujibu wake anawainxclude kwenye ajenda lakini anakataa serikali haiusiki...!? Elimu,elimu,elimu laiti tungekuwa nayo huyu adui mjinga angetuondoka tukabakia na akili za kuchambua mambo.
 
Katafuteni pesa sasa walahi
Mijitu mizima kumwongelea mwanaume mwenzenu siku 14 hamchoki, imbeciles walahi
Usipangie watu kitu cha kufanya nguruwe wewe.

Imbeciles ni wewe na ukoo wenu wote! Swain.
 
Sana sana ni umbea umeandika mchafu wa maneno
 
Msimsingizie bashite..! Wapuuzi nyie..
 
Shetani wewe umbea tu
 
mwandishi wa kitabu cha "AN ENEMY OF THE PEOPLE " alisema
"The majority are sometimes wrong"
ila yote yanawezekana
 
Naona baada ya Mo kupatikana sasa hawa watumishi wasanii wameanza kujitafutia kiki ili kuongeza umaarufu wao

Kama kweli ulionyeshwa katika ulimwengu wa kiroho kwa nini haukutangaza mapema ili upate billioni moja, umeona jamaa kapatikana na wewe umepata pa kutafutia kiki, naunga na Paul kagame aisee kuhusu hawa wachungaji wasanii wanatakiwa wachunguzwe sana la sivyo wataendelea kuwatapeli watu tu

Na kama unajua unyama aliotendewa Ben saanane basi unatakiwa ukaisaidie polisi na si vinginevyo.
 
hahahaha pale kijana anapoanza papasa makalio ya boss wake...... fire and fury sijui nimepatia ile ya bwana trump
 
Si ni sawa na chadrama tu huyo walahi
 
Natamani makanisa ya kinabii yote yafutwe tubaki na madhehebu ya zamani tu.

Maana ni matapeli tu
 
Kumbe kuna nabii alikuwa katabiri MO atarejea leo asubuhi???
 
Serikali Iko Macho 24/7
Na Wameonywa Wanaotaka Kutumia Tukio Vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…