Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hiyo ilikuwa ni moja ya legacy ya huyo dikteta John Pombe Joseph Magufuli, kuteka, kujeruhi na hata kuua. Amefanikiwa kukwepa haki hapa duniani lakini kwa Mungu hatakwepa.
Kuku wewe...!! Mo alikuwa kodi
 
Bado Kazi inaendelea
 
Maajabu kweli!

Mlishindwa kutibu tatizo kwa mfanyabiashara kama Dewji kutekwa kwenye hoteli yenye ulinzi na CCTV 24/7.

Mpaka leo eti watekaji hawajawahi kupatikana!

Je mtu asiye na ulinzi au anaenda sehemu isiyo na CCTV akatekwa atakuwa salama?

Hii ikapita nayo, na hii ya leo itapita.
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…