Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Hii habari ni kweli au iko kwa ajili ya kuiharibia nchi yetu, Tanzania ni nchi ya upendo na amani hvi vitu haviwezi tokea. Tunajua hii ni mipango ya kutaka kumchafua raisi wetu kipenzi. Mabeberu hamtuwezi.
Mpango ulikuwa ni huo wa kumchafua au kumwangusha kabisa Rais na ambao ulifanikiwa.

Huyu mtu genuinely alitekwa, hakufanya maigizo kama ya akina Nondo. facts zinaonyesha hivyo. Kingine kilichokuwa nyuma ya tukio la kutekwa kwake ilikuwa ni kumkasirisha ili baadaye ahamishe miradi yake nchini au asii-invest kabisa hapa nchini kwake.

Investors wote wakubwa ambao ni wazawa wa nchi hii wakiwemo kama akina RA, huwa hawatakiwi
 
Nakumbuka familia yake ilitoa donge nono ukimpata
 
Alisoma shule ya Msingi Arusha,,,,,,,, yaani Arusha School???
 
Mwalimu akikufundisha kuhesabu 1-10 ukiwa mtoto utamkumbuka sababu ni elimu mpya katika ubongo mpya unaokua.

Hivyo hivyo hata mtu akikufundisha kuteka, kuua huyo utabaki kumkumbuka kama mwalimu wa utekaji.

Kazi Utekaji uendelee.
 
Kazi ya Makonda na team mtandao kuchonganisha Magufuli na wananchi kama ulivyokua kwa Lissu
 
heeee, kumbe aliachiwa baada ya familia kulipa $ 1.5 ml kwa magufuli?
Dooh,
That was a massive ransom to free the abducted. Mwendazake aliasisi jambo la hovyo sana.

Huyo wa sasa haombi kikombozi, anapita na mgongo wako, afu shingo yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…