Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dah tunaletewa movie nyingine
.sijui itakuwa na part 2?
.sijui itachezwa kwa ustadi au itafanana na zile nyingine?
.sijui inataka kumpa kiki nani ?

Wakati utasema...stay tuned....!!!!
kwa sisi wenye ndoa hii ya kwenda gym na kutekwa nzuri sana,unaondoka ijumaa jioni unaaga kwenda gym,unampanga msela wako atume sms kwa wife kwamba umetekwa habar zinasambaa kwa ndugu we kumbe uko Bunju kwa dogo dogo kakufungia ndani unakula raha,jumapili jioni unatoka mpk barabarani umejipaka tomato sosi unajifanya umeumia wasamalia wanakupeleka hospital wanampigia wife waki anakuja kukuona na kukudumia,unaruhusiwa unarudi home....maisha yanaendelea😂
 
Hiviii... BEN SA8 leo ni siku ya ngapi hajapatikana... au ubongo wako umelalia lumumba?
 
Mo ni mtu anaependa kuchanganyika na watu, sio tajiri wakujitenga na jamii inayomzunguka.

Tutoe taarifa pale tunapotilia shaka - tusijiaminishe sana, kila wakati tufahamu kwamba wakati unahesabu marafiki 5 pia hesabu maadui 10 - kisha jitahidi kujilinda - MUNGU HATARUHUSU NJAMA ZA WATEKAJI
 
Kama wameweza kuutenda mbichi namna hii, itakuwaje kwetu miti mikavu? Mungu atunusuru.
 
Mkuu wachaa bangiii zakoo ...nishakuambia jini unaloishi naloo litakupelekaa babaya ...

Wanatekana wanatusumbua
Hahaaa hili jini ni made in china "

kwakweli wana tusumbua mnooo Aisee
 
Reactions: Lee
Ameongea KIBASHITE BASHITE ..............!!
 
UMeleta maelezo ya kutekwa kwake, sasa tena unaleta historia ya maisha yake, kwani amefariki? Au unadhani kwa kuleta mafanikio yake watamurudisha. KUna mambo muhimu ya kujadili juu ya kutekwa kwake, wewe unaleta uchafu tu na kuongeza hadithi nje ya thrd! Acha kuhusudu maisha ya watu, jadili tuone unavyofikiri.
 
Ushauri mzuri Hapo kwenye INTERPOL/FBI ili apatikane haraka akiwa hajadhurika.. Ajabu watakataa kuonyesha wanaweza hata wakishindwa.
hapo mwishoni umeongea ukweli mchungu.

Wiki iliyopita rais wa interpol dunian alitekwa nchini ufaransa mpaka leo hii hajaonekana. Zimebak rumos tu kwamba katekwa na wachina au wakorea lakin hajaonekana. So haya mambo si mchezo mchezo kwa wenye uwezo wakiamua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…