LGE2024 Dar: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa aagwa, Kuzikwa Bukoba

LGE2024 Dar: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa aagwa, Kuzikwa Bukoba

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Pwani hii hapa

Screenshot_2024-11-30-16-22-52-1.png
Screenshot_2024-11-30-16-22-22-1.png
Screenshot_2024-11-30-16-22-33-1.png
Screenshot_2024-11-30-16-22-10-1.png
Screenshot_2024-11-30-16-26-14-1.png


Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu, Amina.
 
natoa pole kwa familia..MUNGU AWAPE NGUVU KIPINDI HIKI KIGUMU
 
Sijawahi kuua wala kuagiza mtu auwawe. Ila mjue damu hizi zinawalilia toka kaburini,furahieni tu maumivu ya wengine kwa vile mna dola lakini siku yaja na haiko mbali dola hiyo hiyo itawageuka.
mkuu hiki sio kipindi cha kurusha lawama kwa dola
 
Pole zangu za dhati kwa kuondokewa na mwanafamilia mpendwa wenu wa Chadema. Maua na sala zetu zifikie mpendwa wetu ambaye ametuacha.

Jambo muhimu zaidi ni kusonga mbele na kuweka moto wa kumbukumbu yake hai.

Pia ccm wakumbuke kuwa "Karma ni ahadi ya kulipiza kisasi , hakikisho kwamba kila tendo litalipwa kwa njia moja au nyingine. Karma ni mbunifu asiyeonekana ambaye huunda hatma yenu kulingana na chaguzi zenu na matendo yenu.
 
Ccm na chadema
Yanga na simba
Pombe sungura na double kick
Wanawake

Hivi vitu nimeshavipiga marufuku if you need to ruin your life just involve yourself in this damn
 
Wamelaniwa hao watu.
Hakuna aliyelaaniwa kuliko Lissu anayewalazimisha machadema kutotumia hekima kwenye migogoro, wao wanafundishwa ubabe tu, eti kamama kamoja juzi kakanyakua daftari la wapiga kura halafu kanatamba, kangekutana na wababe wangekanyesha!
 
Back
Top Bottom