LGE2024 Dar: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa aagwa, Kuzikwa Bukoba

LGE2024 Dar: Mgombea wa CHADEMA aliyeuawa Wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa aagwa, Kuzikwa Bukoba

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hakuna aliyelaaniwa kuliko Lissu anayewalazimisha machadema kutotumia hekima kwenye migogoro, wao wanafundishwa ubabe tu, eti kamama kamoja juzi kakanyakua daftari la wapiga kura halafu kanatamba, kangekutana na wababe wangekanyesha!
Hivi wewe una faida gani hapa Duniani?
 
Hawa wanasiasa sio watu wakuwapambania iwe Ccm au chadema

Vijana ambao hawajitambui huwa ndo wanaamini siasa italeta mabadiliko.

Ni kweli ccm ni chama kibovu Ila bado hata hawa chadema hawana uwezo wa kuleta mabadiliko

Tazama hao viongozi wanaishi maisha ya Anasa watoto wao wanasoma shule ulaya

Then wewe unawapambania ili wao wawe juu.

Ukienda pale Tegeta ukaenda goba ukaangalia Nyumba za viongozi wa ccm na chadema unaweza kupata PB then nikiwaona hawa madogo akina mdude wanavyopoteza muda eti wanajiita wana harakati ni ujinga tu.

Wao wanaenda ikulu wanapatana wanalipana hela then wanakuja huku wanakupotezea muda sisi wavuja jasho.

Rip Kijana

Ujinga huu wa siasa umeamishiwa katika Mpira pia.
 
Mambo ya siasa TZ ni mambo ya kijinga Sana .

Kuna Mbunge wa chadema Lwakatare aliwahi kunambia hili jambo kuwa sisi tunajipoteza then wao wanaendelea kula bata

I felt the pain

It was 2017 kipindi cha jiwe ambacho kila kitu kilikuwa hakieleweki vijana wanakamatwa kisa kuwatetea hao viongozi

Sasa lwakatare now is well of ana ghorofa na anaishi luxury life huku katika uchaguzi 2015 watu walikufa na kupata vilema and this guy hakufanya chochote .
 
Kila anayedhani siasa haimhusu ni Mjinga
 
Back
Top Bottom