Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hapa Mchengerwa na mkwewe roho zao kwatuuu.Taarifa iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Pwani hii hapa
View attachment 3165838View attachment 3165839View attachment 3165840View attachment 3165841View attachment 3165843
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu, Amina.
usiuseme moyo wa mwengine anza na wewe nduguHapa Mchengerwa na mkwewe roho zao kwatuuu.
Mungu si AthumaniHapa Mchengerwa na mkwewe roho zao kwatuuu.
Sijawahi kuua wala kuagiza mtu auwawe. Ila mjue damu hizi zinawalilia toka kaburini,furahieni tu maumivu ya wengine kwa vile mna dola lakini siku yaja na haiko mbali dola hiyo hiyo itawageuka.usiuseme moyo wa mwengine anza na wewe ndugu
Wauaji watazawadiwa for job well done.CCM chama cha majambazi, hakitaweza kuwakamata majambazi wenzao waliofanya unyama huuhuu
mkuu hiki sio kipindi cha kurusha lawama kwa dolaSijawahi kuua wala kuagiza mtu auwawe. Ila mjue damu hizi zinawalilia toka kaburini,furahieni tu maumivu ya wengine kwa vile mna dola lakini siku yaja na haiko mbali dola hiyo hiyo itawageuka.
Kwani nani wamevuruga mchakato mzima huu wa uchaguzi?mkuu hiki sio kipindi cha kurusha lawama kwa dola
Tunamtakia kila la heriMama anaupiga mwingi.
Baadhi ya wagombea wa machadema hawatumii akili, kila jambo kwao ni ubabe mtupu, wanafuata akili za Lisu.Hapa Mchengerwa na mkwewe roho zao kwatuuu.
Wamelaniwa hao watu.Hapa Mchengerwa na mkwewe roho zao kwatuuu.
Hakuna aliyelaaniwa kuliko Lissu anayewalazimisha machadema kutotumia hekima kwenye migogoro, wao wanafundishwa ubabe tu, eti kamama kamoja juzi kakanyakua daftari la wapiga kura halafu kanatamba, kangekutana na wababe wangekanyesha!Wamelaniwa hao watu.