Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Hivi wewe una faida gani hapa Duniani?Hakuna aliyelaaniwa kuliko Lissu anayewalazimisha machadema kutotumia hekima kwenye migogoro, wao wanafundishwa ubabe tu, eti kamama kamoja juzi kakanyakua daftari la wapiga kura halafu kanatamba, kangekutana na wababe wangekanyesha!
Kila anayedhani siasa haimhusu ni MjingaMambo ya siasa TZ ni mambo ya kijinga Sana .
Kuna Mbunge wa chadema Lwakatare aliwahi kunambia hili jambo kuwa sisi tunajipoteza then wao wanaendelea kula bata
I felt the pain
It was 2017 kipindi cha jiwe ambacho kila kitu kilikuwa hakieleweki vijana wanakamatwa kisa kuwatetea hao viongozi
Sasa lwakatare now is well of ana ghorofa na anaishi luxury life huku katika uchaguzi 2015 watu walikufa na kupata vilema and this guy hakufanya chochote .
Haya yote yana mwishoTaarifa iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Pwani hii hapa
View attachment 3165838View attachment 3165839View attachment 3165840View attachment 3165841View attachment 3165843
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu, Amina.