Dar miaka ya nyuma ilikuwa tamu sana

Kila nabii na zama zake sisi kwa kweli ndio tulikula raha dar enzi za RSVP disco ,YMCA,msasani beach,Rungwe Oceanic,Silversands, Magott enzo hizo ukimwi nadra!
 
Kila nabii na zama zake sisi kwa kweli ndio tulikula raha dar enzi za RSVP disco ,YMCA,msasani beach,Rungwe Oceanic,Silversands, Magott enzo hizo ukimwi nadra!
Vipi enzi zenu warembo walikuwepo? Maana nahisi siku hizi watoto wazuri ndio wanazaliwa kutokana na mabadiriko ya tabia nchi.
 
Watoto walikuwepo wengi tu warembo tena gate kali maana hayo Madison yote niliyoyataja yalikua yanapiga Sunday boggie kuanzia saa 4 asubuh hadi saa 2 usiku
Vipi enzi zenu warembo walikuwepo? Maana nahisi siku hizi watoto wazuri ndio wanazaliwa kutokana na mabadiriko ya tabia nchi.
 
"Dar es Salaam mambo yanatokea, kila kitu bomba, watu wanajichanganya na michuma bomba, mademu bomba. Noooma, Dar es Salaaaaaaam Oyeeee" ~ Sugu
 
Enzi hizo bishoo alikuwa anavaa oversize.. Na kukimbiza kuku wa kuchinjwa na yeye yupo [emoji2955]
 
Enzi hizo bishoo alikuwa anavaa oversize.. Na kukimbiza kuku wa kuchinjwa na yeye yupo [emoji2955]
Oversize kama za akina Nelly, Joe tomas, 50 cent and the like.
 
Hii sentensi ya tuma nauli ilikua adimu pia
 
enzi za kina marehemu ngwair, mchizi mox huwakosi kwa macheni, vijana social hall, mango park, tip top temeke, aseee yaan nguo ni oversize na ukitoka out ni mikasi na mitungi ya kupotezea wakati, mitaa ya chagga bites. zamani ni zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…