Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unajua kisa cha huyo mke wa Msuya mpaka akamuua wifi yake?Mkuu una uhakika na unachokisema.......? Au wewe ni sehemu ya familia ya huyo mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kisa cha huyo mke wa Msuya mpaka akamuua wifi yake?Mkuu una uhakika na unachokisema.......? Au wewe ni sehemu ya familia ya huyo mwanamke.
Wewe ulishuhudia akimuua?Unajua kisa cha huyo mke wa Msuya mpaka akamuua wifi yake?
Ni ya mauaji huwa zinachukua muda sana hadi hukumuHii case bado tu?
Ila tuwe wakweli watu wa kanda ya kaskazini (Arusha na Kilimanjaro) wanapenda sana mali za urithi, wanasumbua sana sijui kwanini...Hasira zipi tena na ndio ukweli..Mali za kaka ake zinamuhusu nn ?
Hata afungwe ilq yeye kashauliwa na kimdomo chake kirefu kwa tamaa za mali .
Watu wa huko hawana utu kabisa ,mtu mfano mali za kaka ake zinamuhusu nn ?Ila tuwe wakweli watu wa kanda ya kaskazini (Arusha na Kilimanjaro) wanapenda sana mali za urithi, wanasumbua sana sijui kwanini...
Mikoa mingine hivyo vitu vipo lakini kwa uchache sana, mfano mimi Dada yangu aje kung'ang'ania mali niliyomuachia mke yaani ukoo mzima utamshangaa, na itaonekana ni aibu kwa jamii yetu, hata fimbo anaweza kupigwa na ukoo kwa tabia mbaya
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Yule ni muuajiIla Mariam ni gaidi huyo mama. Huwezi kumuua binadamu mwenzio kinyama vile.
Elewa mada iliyoletwa unauliza maswali ya kiwaki...Ndio hapa hun hata uhakika kwamba kauliwa ila ni vizuri angemuua maana alikuwa na kidomo sana.Wewe ulishuhudia akimuua?
Msahuri mengi ya mirathi na kugombea Mali ni wachaga na wapareIla tuwe wakweli watu wa kanda ya kaskazini (Arusha na Kilimanjaro) wanapenda sana mali za urithi, wanasumbua sana sijui kwanini...
Mikoa mingine hivyo vitu vipo lakini kwa uchache sana, mfano mimi Dada yangu aje kung'ang'ania mali niliyomuachia mke yaani ukoo mzima utamshangaa, na itaonekana ni aibu kwa jamii yetu, hata fimbo anaweza kupigwa na ukoo kwa tabia mbaya
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
bado ipo hii kesi inahela sanaHii case bado tu?
Finyango 3 mkuu? Tunapiga mguu wa mbuzi aiseeeeKama watu tungeelewa kuwa ukifa unaacha kila kitu. Basi tusingefanya unyama kisa pesa. Ukiwa na mabilioni bado utakula nyama finyango mbili tatu. Huwezi kula mbuzi mzima kisa wewe una hela.
Kitu usichoelewa ni kwamba watu wa kaskazini wana utamaduni wa kushirikisha ndugu kwenye biashara zao. Unakuta kijana (ke au me) hata kabla hajaoa anamchukua mdogo wake kwenye biashara yake mwanzo mwisho, na wakati mwingine hata akiwa ameoa au kuolewa bado wanaendelea kuwa pamoja kwenye biashara. Kwa msingi huo unakuta dada au kaka mtu ameshiriki mwanzo mwisho kwenye hiyo biashara na mafanikio mbalimbali na anakuwa anajua mengi pia. Hivyo kwenye baadhi ya issues kwa wasiojua wataona ni mzamiaji au anangangania mali za kaka yake kumbe naye ameshiriki kwenye mengi tuu ya kuzalisha hizo mali.Ila tuwe wakweli watu wa kanda ya kaskazini (Arusha na Kilimanjaro) wanapenda sana mali za urithi, wanasumbua sana sijui kwanini...
Mikoa mingine hivyo vitu vipo lakini kwa uchache sana, mfano mimi Dada yangu aje kung'ang'ania mali niliyomuachia mke yaani ukoo mzima utamshangaa, na itaonekana ni aibu kwa jamii yetu, hata fimbo anaweza kupigwa na ukoo kwa tabia mbaya
Vicky kamata ni mchaga,nimrod mkono ni mchaga mifano ni mingi,mali siku zote huleta mifarakano tumeona mpka familia ya wahindi motson group mtoto akigombea mali ya baba yake akiwa hai,Ila tuwe wakweli watu wa kanda ya kaskazini (Arusha na Kilimanjaro) wanapenda sana mali za urithi, wanasumbua sana sijui kwanini...
Mikoa mingine hivyo vitu vipo lakini kwa uchache sana, mfano mimi Dada yangu aje kung'ang'ania mali niliyomuachia mke yaani ukoo mzima utamshangaa, na itaonekana ni aibu kwa jamii yetu, hata fimbo anaweza kupigwa na ukoo kwa tabia mbaya
Kama hizi fact ni irrelevant kuna tatizo some where-
- Hii kesi Kuna mkanganyiko mkubwa Sana, Shahidi ambaye inasemekana kuwa alikuwa ni mfanyakazi wa Ndani wa aneth msuya, kwa mujibu wa Kibatala ni kuwa hiyo sio mfanyakazi wa Ndani wa aneth msuya Bali ni police
- Kingine First Crime Report (taarifa ya awali ya kosa la jinai) inasema kuwa mtuhumiwa ni Getrude Peniel Mfuru (mfanyakazi wa Ndani wa aneth msuya) lakini, walioshitakiwa ni Miriam Mrita na Revocatus Muyella, Huyu aliyetajwa kwenye First Crime Report kaletwa Kama Shahidi wa 25 (Shahidi wa Mwisho)
- Kingine ni Taarifa aliyoileta Sajenti Obadiah, inasema hivi postmortem imefanyika asubuhi ya tarehe 27/5/2015 wakati mauaji yametokea usiku, inawezekanaje hili?
- Kingine ni kwenye Gwaride la utambulisho nalo Kuna makosa mfano, PGO inataka walete picha ya mnato waliofanyiwa Gwaride mahakamani, Kingine PGO inasema kuwa anayetakiwa kuandaa Gwaride la utambulisho anatakiwa kuwa gazetted officer yaani awe na cheo Cha mrakibu msaidizi wa police (ASP), lakini kwenye ushahidi ulioletwa unaonesha kwamba Gwaride la utambulisho liliandaliwa na Assistant inspector kinyume na PGO
Hapa ndio umezingua, Kwahio kidomo kinahalalisha kuuwawa kinyama vile?Elewa mada iliyoletwa unauliza maswali ya kiwaki...Ndio hapa hun hata uhakika kwamba kauliwa ila ni vizuri angemuua maana alikuwa na kidomo sana.
Yaani wwe unataka mapungufu ya PGO ndiyo yasababishe muuwaji kushinda kesi!? Swali ni moja tu,katenda kosa au hajatenda kosa!!??-
- Hii kesi Kuna mkanganyiko mkubwa Sana, Shahidi ambaye inasemekana kuwa alikuwa ni mfanyakazi wa Ndani wa aneth msuya, kwa mujibu wa Kibatala ni kuwa hiyo sio mfanyakazi wa Ndani wa aneth msuya Bali ni police
- Kingine First Crime Report (taarifa ya awali ya kosa la jinai) inasema kuwa mtuhumiwa ni Getrude Peniel Mfuru (mfanyakazi wa Ndani wa aneth msuya) lakini, walioshitakiwa ni Miriam Mrita na Revocatus Muyella, Huyu aliyetajwa kwenye First Crime Report kaletwa Kama Shahidi wa 25 (Shahidi wa Mwisho)
- Kingine ni Taarifa aliyoileta Sajenti Obadiah, inasema hivi postmortem imefanyika asubuhi ya tarehe 27/5/2015 wakati mauaji yametokea usiku, inawezekanaje hili?
- Kingine ni kwenye Gwaride la utambulisho nalo Kuna makosa mfano, PGO inataka walete picha ya mnato waliofanyiwa Gwaride mahakamani, Kingine PGO inasema kuwa anayetakiwa kuandaa Gwaride la utambulisho anatakiwa kuwa gazetted officer yaani awe na cheo Cha mrakibu msaidizi wa police (ASP), lakini kwenye ushahidi ulioletwa unaonesha kwamba Gwaride la utambulisho liliandaliwa na Assistant inspector kinyume na PGO
Sasa si ndio kisa mpaka akauliwa na ndip ukweliHapa ndio umezingua, Kwahio kidomo kinahalalisha kuuwawa kinyama vile?
Mkuu kua na karoho ka kiutu hata kidogo..
ANYWAY kichwani umebeba Tunda za fenesi.
Rubish.
Kwanini hawaweki kwenye maandishi? Kwamba hii biashara au nyumba tumechangia na ndugu yangu kwa % kadhaaKitu usichoelewa ni kwamba watu wa kaskazini wana utamaduni wa kushirikisha ndugu kwenye biashara zao. Unakuta kijana (ke au me) hata kabla hajaoa anamchukua mdogo wake kwenye biashara yake mwanzo mwisho, na wakati mwingine hata akiwa ameoa au kuolewa bado wanaendelea kuwa pamoja kwenye biashara. Kwa msingi huo unakuta dada au kaka mtu ameshiriki mwanzo mwisho kwenye hiyo biashara na mafanikio mbalimbali na anakuwa anajua mengi pia. Hivyo kwenye baadhi ya issues kwa wasiojua wataona ni mzamiaji au anangangania mali za kaka yake kumbe naye ameshiriki kwenye mengi tuu ya kuzalisha hizo mali.