Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake

Yaani wwe unataka mapungufu ya PGO ndiyo yasababishe muuwaji kushinda kesi!? Swali ni moja tu,katenda kosa au hajatenda kosa!!??
Makosa hayo ya PGO yanaweza kuharibu ushahidi na ikawezekana kuharibu hukumu kabisa ndio pale utasikia wanaoenda jela sio wote wanna hatia
 
Hao wakina Msuya ndio wana tatizo,jamaa yenu kashaoa nyie bado mnamfuata tu ...Haya mtu kashafariki bado mnataka mali na kuanza kumuandama wifi yenu kwa nni asiwamalize.

Wajinga wote wamekosa mali, yule aliyeuliwa alikuwa na mdomo sana .
Na huyu atakaekula kifungo cha kunyongwa hadi kufa amerithi nini?

Watu wanaotoa roho za watu ni hatari sana kuish na raia wengine
 
Reactions: HLM
Naweza kujibu kipande cha pili,

Kesi za kula njama mara nyingi ni ngumu sana kwa state attorneys kuzithibitisha pasi na kuacha Shaka, sasa mmoja huwa anachomolewa aeleze ukweli.
Na ndicho kinachotokea kwa Getrude.

Muda si mrefu huyo mama anakula kitanzi...
 
Unafikiri hv vimakosa vidogo vidogo vita mquit huyu mama, nyavu aliyowekewa ina matundu madogo sn inavua hadi dagaa sembuse huyu papa.

ajiandae tu akikosa kitanzi basi ni life sentence.
 
Ni kesi ambayo inasubiri hukumu, ni kesi ambayo imevuta hisia za watu wengi sn Tz na wanataka kujua hatima ya mke wa bilionea msuya ambaye anatuhumiwa kumuua wifi yake anethi msuya.

Kesi ilishafungwa na sasa tunasubili hukumu tuone itakuaje je yule mama atakutwa na hatia au ataachiwa huru?

Tusuburi.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Isomeke hukumu moderate.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hii kesi iishe tuu maana Anet amepumzika ila wale wauaji bado wanatapatapa duniani.
 
Aliyeuwawa ni mama, dada,mtoto na binaadamu, haki imetendeka/ itendeke....
 
Mali imeshaua dada na sasa huenda ikaua (kunyongwa) mke.

Huenda mali hiyohiyo ndiyo iliyomuua mwenyewe aliyeitafuta (bilionea Msuya).
Hizo ndiyo mali zenye muhali
Hizo ndiyo mali zenye muhali[emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Hasira zipi tena na ndio ukweli..Mali za kaka ake zinamuhusu nn ?

Hata afungwe ilq yeye kashauliwa na kimdomo chake kirefu kwa tamaa za mali .
Unayeeleza haujui uelezeacho na wanaokuunga mkono nao pia hawajui kiendeleacho.
 
Mali imeshaua dada na sasa huenda ikaua (kunyongwa) mke.

Huenda mali hiyohiyo ndiyo iliyomuua mwenyewe aliyeitafuta (bilionea Msuya).
Hizo ndiyo mali zenye muhali
Kama Mali ulijipatia kistylestyle basi
Lazima kuwe na mushkeli mushkeli

Ova
 
Kama watu tungeelewa kuwa ukifa unaacha kila kitu. Basi tusingefanya unyama kisa pesa. Ukiwa na mabilioni bado utakula nyama finyango mbili tatu. Huwezi kula mbuzi mzima kisa wewe una hela.
Noma sana!
 
Daah huyo Maza ni katili kachukua ukatili kwa mume wake daah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…