DAR mkoa bora zaidi wakuishi Tanzania

Soon chalinze itakuwa outskirt ya Dsm

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kama nawaona wanaume wa mikoani watakavyotokwa na mapovu
 
Woga wako ndio umasikini wako.
Unaogopa kuja dar kisa unaogopa kutapeliwa.
Je watu waogope kuwa wanajeshi kisa kuna mabomu.
Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]

Kidubuli
 
Dar inategemea misosi kutoka mikoani
Vipi tukigoma kuleta chakula huko mtafia wote hapo dar
 
Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]

Kidubuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]

Kidubuli
Kwasababu umeshalifahamu hilo basi wewe huwezi kuibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…