DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Soon chalinze itakuwa outskirt ya Dsm
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatumsakami ila tunasema ukweli kuwa snapenda sana kuwa the first.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani mnamsakama huyo jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa hayo mahindi jaman [emoji39]Yummy,ndo maana napenda wanaume wa dar tunanunua hii na kula woteView attachment 552555
Wa mikoani hachelewi kukulisha hiiView attachment 552557
Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]Woga wako ndio umasikini wako.
Unaogopa kuja dar kisa unaogopa kutapeliwa.
Je watu waogope kuwa wanajeshi kisa kuna mabomu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa jamani kwani kuna ubaya mana hata mtu akiwahi kukoment anamuomba msamaha Joseverest.Hatumsakami ila tunasema ukweli kuwa snapenda sana kuwa the first.
Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]Woga wako ndio umasikini wako.
Unaogopa kuja dar kisa unaogopa kutapeliwa.
Je watu waogope kuwa wanajeshi kisa kuna mabomu.
Numbisa hayo mahindi jaman [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]
Kidubuli
Aisee itabidi tu nihamie mkoani jamanNjoo mkoani uyafaid vizuri
Wapi umewahi kusikia tajiri amekufa kwa njaa.?Dar inategemea misosi kutoka mikoani
Vipi tukigoma kuleta chakula huko mtafia wote hapo dar
Ninayapenda sana mahindi kaka yaan nikiyaona hivyo nachanganyikiwaDada umeyamis nini
Kwasababu umeshalifahamu hilo basi wewe huwezi kuibiwa.Aah kunguru muoga hukimbiza mbawa zake imagine nimeuza kapori kangu halafu tule tumilion 2 nipigie bajeti ya kuja kufanyia biashara dar ile nashuka tu ubungo napulizwa hadi nauli ya kurudi home [emoji26]
Kidubuli