Inategemea unapitia miji gani! Utokapo Dar kwenda Mwanza kama utapita Morogoro, Dodoma nk na kurudi ukapita humohumo urefu utakuwa sawa. Ijumaa mpaka Jumatatu unapita Jumamosi, Jumapili nk na kurudi anzia Jumatatu pita Jumapili, Jumamosi nk umbali utakuwa sawa!"Urefu wa kutoka Dar mpaka Mwanza, ni sawa sawa na" Urefu kutoka Mwanza mpaka Dar ". Lakini Urefu wa kutoka" Ijumaa mpaka Jumatatu" ni mfupi kuliko Urefu wa kutoka "Jumatatu mpaka Ijumaa".
Sasa sijui alietunga kalenda hakuliona Hili. Au wakati wa vipimo alikua na usingizi?
Unajifanya una akili nyiiiingiInategemea unapitia miji gani! Utokapo Dar kwenda Mwanza kama utapita Morogoro, Dodoma nk na kurudi ukapita humohumo urefu utakuwa sawa. Ijumaa mpaka Jumatatu unapita Jumamosi, Jumapili nk na kurudi anzia Jumatatu pita Jumapili, Jumamosi nk umbali utakuwa sawa!
Si suala la akili nyingi bali ni logic tu kwamba unatoka point A kwenda point B halafu kurudi toka point B kwenda A!Unajifanya una akili nyiiiingi
Hahaha umetishaaaSi suala la akili nyingi bali ni logic tu kwamba unatoka point A kwenda point B halafu kurudi toka point B kwenda A!