"Urefu wa kutoka Dar mpaka Mwanza, ni sawa sawa na" Urefu kutoka Mwanza mpaka Dar ". Lakini Urefu wa kutoka" Ijumaa mpaka Jumatatu" ni mfupi kuliko Urefu wa kutoka "Jumatatu mpaka Ijumaa".
Sasa sijui alietunga kalenda hakuliona Hili. Au wakati wa vipimo alikua na usingizi?
Sasa sijui alietunga kalenda hakuliona Hili. Au wakati wa vipimo alikua na usingizi?