Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Angalau sasa watanzania wameanza kujua maigizo ya siasa muamuko umeanza kupanda akilini.Drama on work.tulijua mapema.Sisi tunamsubiri mandela wetu gerezani.hata kipindi cha ubaguz wa rangi s afrika vpo vyama vya watu weusi walikuwa wanashirikiana na makaburu.