Dar: Muliro awapongeza Askari Polisi waliofanya Vizuri 29 Oktoba 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

=====

KAMANDA MULIRO AWAPONGEZA ASKARI 32 WALIOFANYA VIZURI ZAIDI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM

Pongezi hizo zimetolewa Juni 02, 2026 katika viwanja vya bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Kinondoni ambapo Kamanda Muliro alimwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura ikiwa ni sehemu kutambua mchango wa askari hao katika kazi za Polisi.

Aidha, Kamanda Muliro amewataka Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kuendelea kutekeleza majukumu yao ya kusimamia sheria za nchi kwa kuzingatia sheria, nidhamu, weledi na ujasiri.
 
Majina yao tuyapate maana ndio WAUAJI WAKUBWA WA 29 OCTOBER 2025
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Screenshot_20260120-224356~2.png
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Ni kweli inabidi wapewe pongezi Kwa kufanya kazi nzuri bala kazi zao nzuri Hadi Leo bado tungekuwa tunachinjana wenyewe Kwa wenyewe
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

Sasa kama mama kapongeza wao wafanye nini? Ni mwangwi tu, tunaita collectve responsibility kwenye management, huwezi kwenda kinyume na master wako!
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

=====

KAMANDA MULIRO AWAPONGEZA ASKARI 32 WALIOFANYA VIZURI ZAIDI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
View attachment 3601059
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.

Pongezi hizo zimetolewa Juni 02, 2026 katika viwanja vya bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Kinondoni ambapo Kamanda Muliro alimwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura ikiwa ni sehemu kutambua mchango wa askari hao katika kazi za Polisi.

Aidha, Kamanda Muliro amewataka Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kuendelea kutekeleza majukumu yao ya kusimamia sheria za nchi kwa kuzingatia sheria, nidhamu, weledi na ujasiri.
Faki zati mazafaka!
 
Hawa jamaa wana dharau sana. Kwa kinachoendelea kwa sasa wanaweza kuendeleza huu UHUNI wao mpaka 2030.
 
Back
Top Bottom