figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Asubiri rungu!Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Majina yao tuyapate maana ndio WAUAJI WAKUBWA WA 29 OCTOBER 2025Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Ni kweli inabidi wapewe pongezi Kwa kufanya kazi nzuri bala kazi zao nzuri Hadi Leo bado tungekuwa tunachinjana wenyewe Kwa wenyeweKamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Ongezea mkuu!Habari imepwaya hii
Iongezewe nyama
Mimi Niko huku chululumo mkuuOngezea mkuu!
Nyama gani wataka? Paja au shingo?Habari imepwaya hii
Iongezewe nyama
Faki zati mazafaka!Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
=====
KAMANDA MULIRO AWAPONGEZA ASKARI 32 WALIOFANYA VIZURI ZAIDI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
View attachment 3601059
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Muliro Jumanne Muliro amewapongeza Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali 32 waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi za Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Pongezi hizo zimetolewa Juni 02, 2026 katika viwanja vya bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Kinondoni ambapo Kamanda Muliro alimwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura ikiwa ni sehemu kutambua mchango wa askari hao katika kazi za Polisi.
Aidha, Kamanda Muliro amewataka Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali kuendelea kutekeleza majukumu yao ya kusimamia sheria za nchi kwa kuzingatia sheria, nidhamu, weledi na ujasiri.