DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

Poleni wafiwa , nalaani hicho kitendo cha kukatisha maisha ya msichana mdogo . Ikithibitika ni mpenzi wake apewe adhabu kubwa ili iwe fundisho .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kushinda na mda maana vyote hujitenga dini hata wazazi mda ukifika huwa kama wanampigia mbuzi gitaa tu imeshatokea hamna jinsi uchunguzi hufanywe muuji ale miaka yake R. I. P mrembo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani siku hizi vijana vyuoni wanaishi kama husband and wife aka boyfriend and girlfriend!
 
Aisee,hi habari inasikitisha sana,[emoji24]

Sent from Nokia 7 Plus
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu hauvumiliki wivu wa mapenzi mpaka kuua, Sheria ichukue mkondo wake.
 
Jaribu kurekebisha neno kwenye red.
 
Wawe pole..

Ila hii kuokotwa maiti za wasichana maeneo eneo ya jeshi..
Huku kwetu zimeshaokotwa maiti zaidi ya 4 za wasichana..maeneyo hayo..wanakamatika sana baa za huko...
Sijui inakuwaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Wakutane ili iweje?? Yawezekana alikuwa anawapanga foleni. Kuna wa chuo na wa kitaa. Sasa walipomgundua mchezo wake ndo wakaamua kumfanyia hayo. Mnyonge mnyongeni lakini haki mpeni.
 
Vipi una watoto? Kama unao na hasa wa kike usiombe jambo kama hilo limtokee huyo binti yako maana kipindi hicho hautayakumbuka haya uliyoyaandika.
 
Reactions: Pep
😢😢😢😢😢Maandishi haya yamenitoa machozi. Apumzike kwa amani.
Ila nionavyo hayo maneno hayakuandikwa na binti na badala yake yaliandikwa na wauaji wake muda mrefu baada ya kumuua. Nasema hivyo kwa sababu kwa maelezo ya baba mzazi hadi saa nne usiku alimpigia simu mwanae bila simu kupokelewa na baada ya muda fulani mkewe akamtumia sms binti na ndipo akajibiwa hilo jibu kwamba hayupo katika mikono salama. Lakini walipofika polisi wakaambiwa mwili wa binti uliokotwa saa mbili usiku huo.
 
Nchi za wenzetu kila mahali kuna cct camera mauwaji ya ajabu ajabu hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…