DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

DAR: Mwanafunzi UDOM anyongwa

Acha kushinda na mda maana vyote hujitenga dini hata wazazi mda ukifika huwa kama wanampigia mbuzi gitaa tu imeshatokea hamna jinsi uchunguzi hufanywe muuji ale miaka yake R. I. P mrembo
lawama kwa wazazi wa mwanamke, je mama hakujua kwamba mwanaye ni mwanafunzi na anagawa papuchi? je dini inaruhusu kutoa uchi kabka ya ndoa? ka a sivyo wazazi walaumiwe, haya je wazazi wa kiume hawakujua mwanao ana demu na ni kinyume cha maadili? mpaka afikie kipindi cha kuoa? kama ndivyo basi walaumiwe wote kabisa,

mapenzi na shule ni mbingu na jehanamu, bora hata watoto wafundishwe kupiga puli kuliko mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda wakiwa ghouse, husband to be alipitia simu ya wife to be akakuta vitu na sms zisizofaa. Katika prukushani, husband to be akawa amakamata mtandio wa mpenzi wake kiasi ukatelezea shingoni kuwa km anamkaba. Binti kuona anakabwa ( ingawa ilikuwa tisha toto), akahamaki na kumng'ata kikwelikweli husband. Husband akatapatapa na kukaza kidogo mtandio ili wife asiendelee kumng'ata. Kukawa na kusukumana huku na huku kiasi mtandio ukakaza zaidi...........Pole yao. Mungu aepushie mbali haya!!!
Yaani siku hizi vijana vyuoni wanaishi kama husband and wife aka boyfriend and girlfriend!
 
Aisee,hi habari inasikitisha sana,[emoji24]

Sent from Nokia 7 Plus
 
Huu ni ukatili wa hali ya juu hauvumiliki wivu wa mapenzi mpaka kuua, Sheria ichukue mkondo wake.
 
INAUMA sana! Mrembo Happyness Fredric ‘Happy’, mkazi wa Yombo-Kanisani jijini Dar ambaye alikuwa ni denti wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anadaiwa kuuawa kikatili kwa kunyonywa na kamba nzito hadi kufa, Uwazi lina mkasa wa kukutoa machozi
Jaribu kurekebisha neno kwenye red.
 
Wawe pole..

Ila hii kuokotwa maiti za wasichana maeneo eneo ya jeshi..
Huku kwetu zimeshaokotwa maiti zaidi ya 4 za wasichana..maeneyo hayo..wanakamatika sana baa za huko...
Sijui inakuwaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometime wasichana ni wajinga sana pengine alilazimisha kurudi likizo nyumbani ili akutane na mpenzi wake, R.I.P binti, huyo mchumba wake kazi anayo.
Wakutane ili iweje?? Yawezekana alikuwa anawapanga foleni. Kuna wa chuo na wa kitaa. Sasa walipomgundua mchezo wake ndo wakaamua kumfanyia hayo. Mnyonge mnyongeni lakini haki mpeni.
 
lawama kwa wazazi wa mwanamke, je mama hakujua kwamba mwanaye ni mwanafunzi na anagawa papuchi? je dini inaruhusu kutoa uchi kabka ya ndoa? ka a sivyo wazazi walaumiwe, haya je wazazi wa kiume hawakujua mwanao ana demu na ni kinyume cha maadili? mpaka afikie kipindi cha kuoa? kama ndivyo basi walaumiwe wote kabisa,

mapenzi na shule ni mbingu na jehanamu, bora hata watoto wafundishwe kupiga puli kuliko mapenzi.
Vipi una watoto? Kama unao na hasa wa kike usiombe jambo kama hilo limtokee huyo binti yako maana kipindi hicho hautayakumbuka haya uliyoyaandika.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
😢😢😢😢😢Maandishi haya yamenitoa machozi. Apumzike kwa amani.
Ila nionavyo hayo maneno hayakuandikwa na binti na badala yake yaliandikwa na wauaji wake muda mrefu baada ya kumuua. Nasema hivyo kwa sababu kwa maelezo ya baba mzazi hadi saa nne usiku alimpigia simu mwanae bila simu kupokelewa na baada ya muda fulani mkewe akamtumia sms binti na ndipo akajibiwa hilo jibu kwamba hayupo katika mikono salama. Lakini walipofika polisi wakaambiwa mwili wa binti uliokotwa saa mbili usiku huo.
 
Ila nionavyo hayo maneno hayakuandikwa na binti na badala yake yaliandikwa na wauaji wake muda mrefu baada ya kumuua. Nasema hivyo kwa sababu kwa maelezo ya baba mzazi hadi saa nne usiku alimpigia simu mwanae bila simu kupokelewa na baada ya muda fulani mkewe akamtumia sms binti na ndipo alajibiwa hilo jibu kwamba hayupo katika mikono salama. Lakini walipopiga simu polisi wakaambiwa mwili wa binti ulipatikana saa mbili usiku huo.
Nchi za wenzetu kila mahali kuna cct camera mauwaji ya ajabu ajabu hakuna
 
Back
Top Bottom