Dar: Natafuta saa yoyote yenye Belt Nyeupe isiyochuja.

Dar: Natafuta saa yoyote yenye Belt Nyeupe isiyochuja.

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Wakuu Habari za siku,

Natumai kuna watu hapa wana ujuzi na mambo ya saa, vipi naweza kupata wapi saa ya bei nafuu isiyochuja rangi, sichagui rangi.. ilimradi isichuje tu rangi!

Divine Khan
 
Dah...Kina Prof Mshana Jr wanatupa taabu sana...dawa ni kuipenda kazi yako kwa moyo wote...😀😀😀😀
 
IMG_5963.JPG
 
Back
Top Bottom