Dar: Natoa offer kwa mdada mmoja anaependa mziki kama mimi.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Kichwa cha habari chajieleza.
Wiki inayofata nategemea kuwepo Dar nikitoka safari yangu ya hapa na pale.
Kwa hiyo nimeona si vyema kufika hapo halafu nisiwashirikishe na nyinyi.
Ninaemuhitaji awe hana mme/asiwe anaishi na bwanake, matumizi ya kula, kulala baada ya mziki ni juu yangu.
Usije na kitu chochote zaidi ya nguo tu, muda siku mbili popote pale Dar tutaonana kwa atakae kuwa tayari.
Wizi hauruhusiwi wala kuwaza kutaka kuniibia, mimi sio mlevi ila kwa wale wanywaji bia nne zinatolewa. Sihitaji mzee nataka kijana kama mimi nilie kwenye avatar.
Karibuni tushirikiane pm nawakaribisha.
Kwa yule atakaekuwa serious sitomuangusha.
 
Mshaambiwa mkija msikorome.

Nitagieni yule Bi dada najua alipo ananiona ndimu.

Ila ndo basi tena.😀😀
 
Kuna msichana mmoja alikuja na uzi kuwa anapenda sana kucheza mziki. Nami kwa sababu nataman kujua kucheza nkamfuata inbox japo tukutane anifundishe kucheza mpaka leo hakujibu
 
Kuna msichana mmoja alikuja na uzi kuwa anapenda sana kucheza mziki. Nami kwa sababu nataman kujua kucheza nkamfuata inbox japo tukutane anifundishe kucheza mpaka leo hakujibu
Hahaha alimpata ndio maana hakua na shida ya kujibu tena wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…