Dar: Natoa offer kwa mdada mmoja anaependa mziki kama mimi.

Usifikiri wabongo ni washamba na cheap kiasi hicho. Kuwa straight kama unataka papuchi nenda kwenye magulio ya papuchi zipo kibao za kila aina.
Ila kama vp fungua mtandao unaoitwa exotic tanzania huko utapata za kutosha. Ila kwa kuahidi bia ambazo hazijai hata kisado utaambulia patupu.
 
Hahaha mkuu kwani mie nimesema nataka papuchi, mbona najua kusema hivyo na sijazowea kununua ila nimezowea disco ndo ugonjwa wangu.
Kama kununua nisingekuja hapa.
 
Okey.naona unajipalilia
Sio kwamba najipalilia nasema kweli na sio kwamba hawapatikani wako wengi mno lakini offer yangu ni Dar.
Na pia Dar sio kwamba nataka kahaba hapana ni kuinjoy (kampani) kama nilivyosema huko juu.
Na vile vile sio kwamba nikiamua kutaka kampan haipatikani hapana, nimetoa kwa ajili ya wadada wa JF.
 
Kila la heri
 
Usifikiri wabongo ni washamba na cheap kiasi hicho. Kuwa straight kama unataka papuchi nenda kwenye magulio ya papuchi zipo kibao za kila aina.
Ila kama vp fungua mtandao unaoitwa exotic tanzania huko utapata za kutosha. Ila kwa kuahidi bia ambazo hazijai hata kisado utaambulia patupu.
Mkuu mbona povu. Hujalikwa wewe au wewe ni aunt?.
 
Back
Top Bottom