LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

LGE2024 Dar: Nchimbi afunga kampeni, asema wagombea 61% CCM watapigiwa kura ya ndio au hapana, wasibweteke

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,


CCM imeweza kuweka wagombea takriban 49,000 katika nafasi mbalimbali za uongozi, hii inamaanisha wanakwenda huku wapinzani wakiwa takriban 30,000, hii inamaanisha CCM inaenda kupigiwa kura ya ndio na hapana katika asilimia 61% ya nchi, hili lisiwape jeuri, jitokezeni kwa wingi mkapige kura.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024



Nchimbi ameyasema hayo leo Mbagala Novemba 26, 2026 wakati wa kufunga kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
Back
Top Bottom