Dar: Ndege ya kijeshi ya Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)

Dar: Ndege ya kijeshi ya Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)

danymTZ

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
376
Reaction score
575
Ni ndege aina ya C-17 Globemaster imeonekana terminal 3 ya JNIA tarehe 1 July 2021.

Baadhi ya wananchi walisema imebeba Covid-19 vaccine lakini afisa wa ubalozi wa marekani Michael Pryor amedai kuwa ndege imeleta materials kwa ajili ya ubalozi bila kutaja ni materials gani.

====

UPDATES:

Dar es Salaam. Marekani imesema ndege ya jeshi la nchi hiyo aina ya C-17 Globemaster iliyoegeshwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) imeleta mahitaji muhimu ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Tanzania.

Ndege hiyo ambayo kwenye bawa lake la nyuma ina bendera ya Marekani chini yake ikiandikwa herufi AMC, picha zake zilianza kusambaa mitandaoni kuanzia jana Alhamisi Julai Mosi, 2021 ikiwa katika uwanja huo uliopo jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwananchi leo Ijumaa Julai 2, 2021 ofisa ubalozi wa Marekani,

Michael Pryor amesema, “ni kweli ni ndege ya Marekani. Huwa inakuja kila mwaka kwa nyakati tofauti kushusha mahitaji muhimu ya ubalozi wa Marekani hapa nchini na kwingineko jirani.”

Bila kuyataja mahitaji hayo Pryor amesema huenda ndege hiyo ikaondoka kesho baada ya kukamilisha ushushaji. Katika mitandao ya kijamii baadhi ya watu walihoji ujio wa ndege hiyo bila majibu na wengine walijibizana kuwa huenda imeleta chanjo za Covid-19 baada ya Serikali kuruhusu uingizaji wa chanjo hizo kwa jumuiya za kimataifa.

====

Dar es Salaam. The United States of America has explained the reasons for the country's military plane type C-17 Globemaster landing at the Julius Nyerere International Airport (JNIA) in Dar es Es Salaam.

Photos of the military plane bearing a US flag and initials AMC parked at the JNIA airport started circulating online on Thursday, July 01, with people speculating the reasons behind the plane's arrival - some stating it has brought Covid-19 vaccines.However, a US embassy official, Michael Pryor has cleared the air, explaining that the military aircraft is in Dar es Salaam to deliver supplies for the US embassy.

Without mentioning the kinds of supplies that are being offloaded, Mr Pryor said the plane's arrival is routine - a trip that happens at least once a year, delivering important supplies to the US embassy in Tanzania and other neighbouring countries.

He said that the plane is expected to jet off soon as they finish offloading the supplies.

jet-pic.jpeg
 
ha ha ha kwanza umepata news za meli ya israel huko hindi sea
Nimeipata ila ni partly owned by Isra businessman [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] halafu iko poa tu.

Hamna kikundi wala nchi iliyithubutu kutangaza kuhusika na tukio hilo.

Ona mlivyo waoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210704-053331_Chrome.jpg
 
Nimeipata ila ni partly owned by Isra businessman [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] halafu iko poa tu.

Hamna kikundi wala nchi iliyithubutu kutangaza kuhusika na tukio hilo.

Ona mlivyo waoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1839426
kwani israel inavyo shambulia meli za iran huko mediterania huwa inatangazaga?
 
Ni ndege aina ya C-17 Globemaster imeonekana terminal 3 ya JNIA tarehe 1 July 2021.

Baadhi ya wananchi walisema imebeba Covid-19 vaccine lakini afisa wa ubalozi wa marekani Michael Pryor amedai kuwa ndege imeleta materials kwa ajili ya ubalozi bila kutaja ni materials gani.

View attachment 1839216
Kwani ndege kama hiyo ni mara ya kwanza kutua Tanzania? Mbona tuko paranoid sana?
 
Covid 19 vaccines or Covid 19 viruses??? [emoji32]--- hao sio watu wa kuwaamini [emoji817]%.
Maana ya neno Vaccines = Viruses

Kwa iyo wameleta viruses pia itategemea kama havitakubaliana na miili yetu, tutakufa mpaka mungu aingilie kati
 
Nimeipata ila ni partly owned by Isra businessman [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] halafu iko poa tu.

Hamna kikundi wala nchi iliyithubutu kutangaza kuhusika na tukio hilo.

Ona mlivyo waoga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1839426
Embu iweke vizuri kwy Uzi the uje tuisome hiyo
 
Maana ya neno Vaccines = Viruses

Kwa iyo wameleta viruses pia itategemea kama havitakubaliana na miili yetu, tutakufa mpaka mungu aingilie kati
Poor soul. Watu kama nyie huku Russia Putin anawatumia kudeki barabara za mitaani
 
Back
Top Bottom