watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Ndio jiji pekee ambalo linakupa uhuru wa kupambana bila kelele nyingi na matarajio ya jamii za mikoani.
Hakuna pressure ya kuwa na watoto au mke/mume, “focus zako” ni zako mwenyewe.
Utaendelea kuishi geto huku unazikusanya hata ufike 45 hakuna mwenye time na wewe
Mambo ya misiba ya kuhudhuria kila siku hakuna, utahudhuria msiba siku moja inatosha unaendelea na yako
Huna haja ya kueleza maisha yako kwa mtu yeyote, kila mtu anatafuta mkate wake kimya kimya, hata majirani mnaweza mkawa hamjuani kwa majina
Hata usipoenda kanisani au msikitini kwa miaka mitano, hakuna atakayekuhoji imani yako.
Huko ulikotoka kijana kumiliki Crown anasumbua mji mzima, Kwa Dar kuna vijana wadogo wanapush Range na hawana kelele. Dar inakufundisha unyenyekevu na kutafuta sana.