watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Na ndio jiji linaloongiza kwa nyumba za kuokotaMtu kapanga kwenye nyumba Toka 1987 Hadi 2025 hajahama, unaweza sema ndo mwenye nyumba kumbe mpangaji!!!
Dar ni shda
Ishi upendavyo. Maisha ni kuenjoy. Kama vinampa furaha wewe wa mikoani huko pambana. Kila mtu anashinda mechi zake. Njoo pwani huku, tunategemea minazi tu. Sie kupiga bao mwanzo mwisho.Mafanikio ya kijana wa dar
1. Sofa ya L
2.flat inch 55
3.kitanda cha sofa
4.ps
5.mademu 6 wa kitaa
6.nguo za dukani na miwani mikubwa
Na uhakika wa kula apo kamaliza unaweza mkuta mtu ana 45 yupo Ivo na ana relaxed kazi kuangalia mechi simba na yanga ......
Mafanikio ya kijana wa dar
1. Sofa ya L
2.flat inch 55
3.kitanda cha sofa
4.ps
5.mademu 6 wa kitaa
6.nguo za dukani na miwani mikubwa
Na uhakika wa kula apo kamaliza unaweza mkuta mtu ana 45 yupo Ivo na ana relaxed kazi kuangalia mechi simba na yanga ......
[/QUOTE
Hapo ana relexed umepiga nje mzee
Na feniMafanikio ya kijana wa dar
1. Sofa ya L
2.flat inch 55
3.kitanda cha sofa
4.ps
5.mademu 6 wa kitaa
6.nguo za dukani na miwani mikubwa
Na uhakika wa kula apo kamaliza unaweza mkuta mtu ana 45 yupo Ivo na ana relaxed kazi kuangalia mechi simba na yanga ......
Hao wengi bado wageni, wametokea vijijini huko ukiwa na IST ushakuwa Don, huwa wanaanza kushika adabu taratibu wakianza kujionea jiji lilivyo, Hizo IST wanafunzi wakimaliza Four wanapewa ziwe za misele 😂Kijana wa Dar akiwa na ist basi lazima avae kaptula juu ya magoti ili aonekane Don
Napenda venye Watu hawana mudaaa! Huku Nyamugongo Sasa!!!!
Na ndio jiji linaloongiza kwa nyumba za kuokota
Mwenye nyumba hakushirikisha familia wala ndugu zake, akifariki inakuwa ya kuokota
Kundi lingine ni wale wanaoweka watu wa kulinda nyumba zao kabla hawajahamia, mtu anaweka familia yake kabisa anaombea mwenye nyumba afe, wengine wanaenda hadi kwa waganga,