#DARESSALAAM :- NUKUU ZA RAIS SAMIA WAKATI WA UTIAJI SAINI WA UJENZI WA RELI MAKUTOPORA - TABORA
Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini ujenzi wa reli ya kisasi (SGR) kutoka Makutopora- Tabora yenye urefu wa kilomita 368, kikiwa na thamani ya dola bilioni 1.98 sawa na Sh.4.4 trilioni. Ujenzi utakuwa wa miezi 46.
"Leo hii tumekusanyika hapa kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa kwa kipande cha kutoka Makutupora hadi Tabora, KM 368 na mkataba huu una thamani ya Trilioni 4.41 ukijumuisha na kodi ya ongezeko la thamani." @samia_suluhu_hassan
"Uwekezaji kwenye reli mpaka sasa umefikia Sh.14 trilioni kwa njia yoyote, tutakopa, tutaangalia njia rahisi kwani hatutazitoa kwenye tozo au tunazokusanya ndani. Kwa hiyo tutakopa ili kumamilisha mradi huu" Rais @samia_suluhu_hassan
"Tayari nimeagiza wizara ya ujenzi na uchukuzi kukamilisha utaratibu wa manunuzi ili kumpata mjenzi wa reli wa Tabora- Isaka na Tabora- Kigoma. Baadaye Kaliua-Mpanda mpaka Kalema" Rais @samia_suluhu_hassan
"Tukiweza kuiunganisha na nchi zote zinazotuzunguka, uchumi wetu utakua sana kwani tutakuwa na njia za kwenda kokote. Wizara hakikisheni mnakamilisha hili na lengo ni kuifanya nchi yetu inakuwa kitovu cha biashara"- Rais @damia_suluhu_hassan
"Kama walidhani kutakuwa na kusimamisha miradi wapate la kusema halipo, halipo na kuna jitihada za kutuvunja mioyo kwenye mikopo, hata nchi zilizoendelea zinakopa, tutakopa kwani ukikopa unajenga haraka na mikopo hii ni ya miaka 20, kwa hiyo tutakopa na tutalipa taratibu" Rais @samia_suluhu_hassan
"Serikali itaendelea na miradi ya kimkakati ukiwemo huu wa reli ya kisasa. Ujenzi na utekeleza wa miradi mipya tutaendelea kusimamia na kuanzisha mipya. Sasa kuna wale ambao hawataki kuona inaendelezwa, wakandarasi hawadai hata senti moja, ujenzi wa bwawa unakwenda vizuri" Rais @samia_suluhu_hassan
Niwaombe sana wanaosimamia ujenzi wa reli, wahakikishe inakuwa yenye viwango na ijengwe kama inavyokusudiwa. Hizi ni fedha za Watanzania, tusifanye vitu kwa ubora. Hata ikiharibika miaka mitatu na mkandarasi kaondoka, tutashikana - Rais @samia_suluhu_hassan
#MamaYukoKazini