REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Katika research ilihofanywa na shirika reputable international orgo lisilo la kiserikali (Price Waterhouse Coopers) limetoa matokeo kuwa Dar ndio mji wenye fursa nyingi za kiuwekezaji na mazingira safi katika Africa nzima.
My take, always no research no right to say, hii ni ishara kwamba hakuna haja ya kulalamikiana bali watu waipekue report wapate maeneo yaliyotajwa ya kiuwekezaji wachangamkie fursa badala ya kuzunguka na bashasha za kaki na misuti ya oversize kama akina fulani crawling babies.