Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mnataka kusemaje kwan tunazuia vifo?Pole kwa mama mfiwa,Madakatari mjitathmini,siku nyingine watu wataogopa kutenganisha watoto sasa
Ndo umeandika nini??Huyo binti Sasa hana dosari inabid aolewe haraka.
Unataka tuwatie moyo kwa uzembe wa wazi na makusudi kabisa..? Waliwafanyia operation kwajil yakutaka sifa tu, ilitakiwa wangoje watoto wakomae kidogo... Baadhi ya madaktari walihojiwa kabla ya operation, wakasema kisomi zaidi wanatakiwa wafanyiwe baada ya mwaka au miaka miwili...Pole kwa wafiwa.
Madaktari wasivunjike moyo, hata mbuyu ulianza kama mchicha, ni kweli kibinadamu inaumiza kuna watu watahisi madaktari wanachezea uhai wa watu.
Ila hakuna mafanikio bila majaribio kadhaa yaliyoshindikana, inaumiza tu kwa kuwa ni binaadamu mwenzetu, hata huko kwa wenzetu yanatokea, si kila wanalofanya wanafanikiwa.
Watanzania tujifunze kupunguza lawama, tunawavunja moyo watu wanaojaribu kutafuta namna ya kutuponya hapa hapa nchini.
Kwenye chumba Cha maddaktari wengi walikuwa wageniRIP Pacha. Hivi Madaktari wa bongo wamesomea nn?
sasa wangekuaje wakiwa hivyo jaman! kumbuken hiyo operationa yao walikuwepo na wazungu kibao hapo! Imeandikwa hivyo tu jaman maisha ni kubahatishaPole kwa mama mfiwa,Madakatari mjitathmini,siku nyingine watu wataogopa kutenganisha watoto sasa