TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

Duu! Pole nyingi kwa wafiwa, Pia Shukurani nyingi kwa mola wetu na madaktari wote waliojaribu kupambania maisha ya viumbe hao!
Tuliwapenda na tukapenda kuwa nao lakini Mungu kawapenda zaidi!
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe!
Mola wetu azihifadhi roho zao pahala peponi . Amina!
 
mi nilijua tu k'bongo bongo mission impossible.

innalillahi wa inna ilayh rajiun 🙏
 
Huwaga sishabikiagi ujinga lakini hili la kuwalaumu madaktari wa MNH ni upuuzi, wamejitahidi sana kwa kiwango chao na wanahitajika kupongezwa the operation was very deadly lakini wameonyesha wanawweza despite kutokuwa na maslahi makubwa kama wanasiasa NK. wapewe kongole na sio kulaumiwa.
 
R.I.P little Angels


Siasa za sifa mbaya sana
 
Mponyaji ni Mungu pekee ila Madaktari ni watekelezaji tu kuisaidia afya yako.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi hawa walikuwa case study.....sema kwa vile hawakuwa panya ni binadamu.....
 
Tangu mwanzo nilikuwa nasita kusema, ila kwa ma Dr wetu hawa wa Tz. naapa nilijua hakutakuwa na usalama kabisa!
 
Pole kwa mama mfiwa,Madakatari mjitathmini,siku nyingine watu wataogopa kutenganisha watoto sasa
Sisi Bado.ngewapeleka Kwa Wenye shughuli zao. RPI Mapacha. Pole Sana Mama Yao.
 
Hv hapo gharama zilikuwa za serikali ama wazazi?
 
Majaribio unafanyia kwa binadamu?
Hujawahi kujiuliza kwanini wenzetu wanajaribia kwa nyani?Ok R.I.P
 
Imenikumbusha movie inaitwa " Gifted Hands "
 
Ndo wafanyie majaribio Kwa wnadamu? Kwanini wasiwe wanajaribubkwanza Kwa wanyama Ili waone athari ni zipi? Bila shaka Kuna BAADHI ya pacha hua hawatenganishwi. Kuna mabinti wapo ulaya na vijana wapo hapo India ni wakubwa wameungana na wanapendelea vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…