Jamani nimekumiss hadi naumwa.Upo kweli mamie!Hapo sasa! Team simba! Dabi ya kkoo! Mi yangu machooo !toka lini simba akashikwa sharubu labda?usione kalala ni pouz tuu! Teh! Sijasema mimi!
Mkuu, yafaa kuweka akiba ya maneno.....msimu uliopita unafahamu matokeo yake?Hapo sasa! Team simba! Dabi ya kkoo! Mi yangu machooo !toka lini simba akashikwa sharubu labda?usione kalala ni pouz tuu! Teh! Sijasema mimi!
Tabiri zako huenda vice versaKipigo kwa kandambili lazima Leo.!
Sio za mwaka huuTabiri zako huenda vice versa
Njoo.!TEAM SIMBA BABY ! SIJUI NIENDE?
Hahahaah Na ndio bakora zitatembea pale jangwaniIle habari ya 5-0 huenda ikajirudia tena! Kichuyaaaa, Ajiiiiibuuuu, Ngomaaaaaa
NIPITIENjoo.!