Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Leo ndiyo Leo Siku ya Kariakoo Derby timu zote zikitokea wilaya ya Ilala na Kata ya Kariakoo.
Match preview
Simba ikitafuta kufuta uteja wa miaka ya hivi karibuni na Yanga ikiendeleza Ubabe wake.
Simba Ina mabadiliko sana ukilinganisha na Yanga ambayo wachezaji wengi ni walele hivyo kutakua na upinzani mkali sana.
Team News
Yanga XI ( 3-5-2 )
Mustapha,Bossou, Yondani, Twite
Mwinyi, Abdul, Mahadhi, Kamusoko, Kaseke, Ngoma, Tambwe.