DAR Performance ya shule nyingi ni Mbovu kupindukia

DAR Performance ya shule nyingi ni Mbovu kupindukia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
DAR kuna Tatizo Mahali. Katika mkoa ambao wanafunzi wame fail Zaidí ni DAR.

Kwa sasa DAR Siyo sehemu salama Kwa elimu ya mtoto.

Pamoja na facilities kibao lakini performance ni Mbovu sana kupita mikoa yote.

Huenda Tatizo la malezi, strarehe na mazingira ya shule ni Tatizo kubwa.

Ni aibu jiji kama Dar kuzidiwa na mkoa kama simiyu.
 
Malezi mabovu yanapelekea matokeo duni kwa wanafunzi.

Mtoto kutwa anashinda vijiweni na masela wanavuta bangi, unafikiri watafaulu kidato cha 4?

Watoto wa kike wamekuwa kama wamezibuliwa masikio yote hayasikii unafikiri wanaweza kumsikiliza mwalimu darasani?

Tena walimu wa Dar wanakabili changamoto kubwa sana kuwafundisha watoto wa Dar.
 
Tukubaliane ya kwamba tatizo ni sisi wazazi. Hawa watoto tunawaonea bure
 
Back
Top Bottom