The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Correct. Mikoani watoto wanatusua vizuri Tu.Malezi mabovu, watoto wanapilika kibao
Tukubaliane ya kwamba tatizo ni sisi wazazi. Hawa watoto tunawaonea bureMalezi mabovu yanapelekea matokeo duni kwa wanafunzi.
Mtoto kutwa anashinda vijiweni na masela wanavuta bangi, unafikiri watafaulu kidato cha 4?
Watoto wa kike wamekuwa kama wamezibuliwa masikio yote hayasikii unafikiri wanaweza kumsikiliza mwalimu darasani?
Tena walimu wa Dar wanakabili changamoto kubwa sana kuwafundisha watoto wa Dar.
Wazazi hawana muda wa kuwafuatilia watoto wao.Tukubaliane ya kwamba tatizo ni sisi wazazi. Hawa watoto tunawaonea bure
Wao wanajiita born town.Tatizo madogo wa dar wanaona ujanja kuendekeza usela kuliko masomo
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app