johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haisaidii, nadhani wanaoamua kwenda mahakamani wanajuà upuuzi huo huwa unafanyika kila wakati Chadema wanapokuwa na Jambo lao.Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
Source: ITV habari
Siku zinakuja ambapo police watakipata wanachokitafuta, huwez leta habar za ugaidi kwenye nchi isiyo na hata harufu ya ugaidi, one day watakuja magaidi wenyewe ndio wenye ulinz wao watauona mziki wao!Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
Source: ITV habari
Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu. Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu. Source: ITV habari
Mikwara ya kishamba iliyopitwa na wakati mno !Askari wa jeshi la polisi wakiongozwa na kamanda wa kanda maalumu afande Muliro leo wamefanya mazoezi maalumu.
Afande Muliro amesema mazoezi hayo ni ya kawaida kwa askari kujiweka tayari kupambana na uhalifu.
Source: ITV habari
"Mtu mzima hatishiwi nyau, Kisutu lazima nitinge na nitatoka salama kabisaaah"Wandugu taarifa zilizopo ni kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejiandaa kwelikweli kuharibu sura ya yeyote atakayejaribu kuweka mguu wake Kisutu. Naambiwa kila kona wamejipanga. Kwa wale wanaopenda kuendelea kupumua hewa ya dunia hii nawashauri usikanyage Kisutu Kesho. Ona tu kipande kidogo kwa hisani ya watu wa Tanzania.
Kabisaaaa si vijana wetu wame kuwa wanasiasaWenzetu Uganda,Kenya,Ethiopia,Namibia wanabeba tu medali huko Tokyo..sisi huku sasa..